Romelu Lukaku Straika wa Inter amesema kuwa kinyang’anyiro cha Kiatu cha Dhahabu na supa star Christiano Ronaldo haiwezi kutawala fikra zake licha ya kufikisha mabao 18 katika Serie A msimu huu nyuma ya Ronaldo mwenye mabao 19.
Lukaku Hafikirii Kuhusu Kitau cha Dhahabu
Wachezaji wa Inter, Lautaro Martinez na Romelu Lukaku.

Mchezaji huyo wa Ubeligiji kwa mara nyingine alihusika kwenye ushindi wa 3-0 dhidi ya Genoa na sasa amefunga katika michezo mitatu ya Nerazzurri.

Hajaenda bila kufunga kwenye michezo zaidi ya miwili kwa msimu huu katika kikosi cha Antonio Conte amabo wnatumaini la kushinda taji la Serie A, kwa sasa wapo nafasi ya kwanza katika jedwali.

Lukaku alisema baada ya ushindi dhidi ya Genoa: ” Tumeimarika sasa, tupo juu kwenye msimamo wa ligi ni hisia nzuri lakini lazima tuendelee kucheza kwa bidii.

“Tulikabiliana na vipigo katika michezo kama hii msimu uliyopita kiukweli nina furaha sana kwa ushindi , sasa tunafikiria kwa mchezo uja dhidi ya Parma hautakuwa mchezo rahisi.

“Tunataka kuwaonesha wapinzani kwamba tupo hapa, tunawaza michezo inayokuja, ilikuwa ni mechi muhimu baada ya kushinda michezo miwili mfululizo.

“Tumefunga mabao matatu na hatuja ruhusu goli hiyo ipo sawa sana.

“Mara zote nataka kuimarika, kama wachezaji wengine wengi, sisi ni vijana tuna nafasi ya kuboresha.


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

Lukaku, Lukaku Hafikirii Kuhusu Kiatu cha Dhahabu, Meridianbet

  CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa