Maloney Apata Dili ya Kuinoa Hibernian

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Ubelgiji Shaun Maloney ameachana na majukumu hayo na kuwa kocha mkuu wa klabu ya Hibernian.

Maloney Apata Dili ya Kuinoa Hibernian

Maloney alilamba dili kwenye benchi la ukufunzi na bosi wa Ubelgiji Roberto Martinez – ambaye alimfundisha kama mchezaji katika klabu ya Wigan Athletic mwezi Septemba 2018.

Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Scotland amekuwa sehemu ya mafanikio ya Belgium katika muda wote wa kukaa kwao kileleni mwa viwango vya FIFA, na alikuwa msaidizi wa Martinez wakati alipo maliza katika robo fainali ya Euro 2020.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 sasa anaondoka kuchukua kazi yake ya kwanza kama kocha mkuu, akijiunga na timu ya Hibernia ambayo iko katika nafasi ya saba kwenye Ligi Kuu ya Uskoti ikiwa na pointi 23 katika michezo 18.

Taarifa ilisomeka “Karibu Hibernian FC, Shaun Maloney!


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe