Msimu wa Ligi Kuu England jana Mei 23 ulikamika kwa  mabingwa wapya, Manchester City wanaonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola kutwaa ubingwa huo kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Everton, Uwanja wa Etihad.

Manchester City ubingwa

Ni Kevin De Bruyne alipachika bao dakika ya 11, Gabriel Jesus dakika ya 14,Phil Foden dakika ya 53 na nyota wao Sergio Aguero alipachika mabao mawili dakika ya 71 na 76.

Timu ya Liverpool nayo ambayo ilikuwa haipewi nafasi kumaliza ndani ya tano bora ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace kumewafanya wamalize wakiwa nafasi ya tatu na pointi 69, Chelsea kichapo cha mabao 2-1 dhidi dhidi ya Aston Villa wanauhakika wa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa inamaliza ikiwa nafasi ya nne ikiwa na pointi 67.

Manchester city - AgueroNne bora kwa msimu wa 2020/21, Manchester City ni namba moja wakiwa na pointi 86, namba mbili ni Manchester United ambao wao walishinda mabao 2-1 dhidi ya Wolves namba tatu ni Liverpool, nne ni Chelsea na tano ni West Ham United ikiwa na pointi 65.


Bonasi ya 50% Kila Siku Katika Kasino za Evoplay hapa Meridianbet.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa