Marco Rose: Jeraha la Reyna ni Baya Sio Kama Tulivyotarajia

Bosi wa Borussia Dortmund Marco Rose amekiri kwamba tatizo la misuli la Gio Reyna ni baya kidogo kuliko vile ilivyokuwa ikitarajiwa lakini kinda huyo wa miaka 18 anatarajia kurejea dimbani kabla ya mwaka 2022.

Marco Rose: Jeraha la Reyna ni Baya Sio Kama Tulivyotarajia

Taarifa za awali zilidai kwamba atakuwa nje muda wa mwezi mmoja lakini hakuna muda ulitojwa kwamba atakuwa amepona jeraha lake na miamba hao wa Ujerumani hawana uhakika kaa atacheza tena mwaka huu au vinginevyo.

Mchezaji huyo alipata jeraha hilo akiwa kwenye majukumu na timu ya taifa ya USA na kuwa nje ya dimba tangu mwezi Septemba.

Marco Rose: Jeraha la Reyna ni Baya Sio Kama Tulivyotarajia

Alipoulizwa taarifa kuhusu Reyna kabla ya safari ya kwenda RB Leipzig Jumamosi, Rose aliwaambia waandishi wa habari: “Ana imarika polepole.

“Jeraha liligeuka kuwa mbaya zaidi kuliko tulivyotarajia.

“Haiwezekani kutabiri lini atarejea kwenye mazoezi ya timu. Lakini tunatumai kuwa ataweza kucheza tena mwaka huu.”


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe