Mason Mount Aibukia Manchester United

mason mount

Mchezaji wa Chelsea Mason Mount ameonesha nia ya kuondoka katika viunga vya Stamford Bridge, huku ripoti zikieleza huenda akajiunga na mashetani wekundu wa Jiji la Manchester. ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Taarifa hizi zinakuja baada ya United kusemekana kuandaa dau la paundi milioni 55 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 msimu huu wa joto.

Kwa mujibu wa ripoti ya Athletic inaandika kwamba Mount anatamani zaidi kuelekea Manchester United, huku mazungumzo kati ya Chelsea na Man Utd yakitarajiwa kuanza hivi karibuni. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mount amekuwa akisuasua kuongeza mkataba mpya huku mkataba wake wa sasa ukitajariwa kuisha msimu ujao.

Kocha wa Chelsea Frank Lampard alibaki kimya alipozungumza kuhusu mustakabali wa Mount.

Alisema: “Sijui [wakati wake ujao].

“Hilo sio jibu langu. Hilo ni kati ya Mason Mount na klabu.”

Kocha anayekuja wa Chelsea, Mauricio Pochettino anaripotiwa kumtaka Mount kama sehemu ya mradi wake ujao. Tembelea duka la ubashiri kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.