Mastaa Watano wa Chelsea Kucheza Fainali ya Euro 2020

Wachezaji watano wa Chelsea wanatarajia kushiriki katika fainali ya Euro 2020 ambapo England watamenyana na Italy katika dimba la Wembley siku ya Jumapili jioni.
Mastaa Watano wa Chelsea Kucheza Fainali ya Euro 2020
(Kushoto) Jorginho (kulia) Emerson

Jorginho,Emerson Palmieri watakuwa wanaiwakilisha Italia, wakati Mason Mount, Ben Chilwell pamoja na Reece James wanawakilisha Uingereza  na wanakamilisha idadi ya wachezaji watano kutoka kwa mabingwa wa Champions League watakao kuwa na matumaini ya kushinda ubingwa wa ulaya wakiziwakilisha timu za mataifa yao.

Mastaa Watano wa Chelsea Kucheza Fainali ya Euro 2020
Mason Mount, James Reece na Ben Chilwell

 

Unaweza ukaona kwamba wachezaji ambao wamepata mafanikio makubwa na vilabu wakienda kunyanyua taji na timu ya taifa kwa msimu mmoja sio kitu kinachotokea mara kwa mara.

Juan Mata na Fernando Torres ni miongoni mwa wachezaji ambao walipata bahati kama iyo mwaka 2012 baada ya kutwaa Ligi ya Mabingwa wakiwa na Chelsea na timu ya SDpain mwaka 2012.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe