Mbappe: Nitaongea Nikituliza Akili Yangu

Kylian Mbappe amesema hakuna ufuataliaji wowote juu ya yeye kusaini mkataba mpya na Paris Saint-Germain hali yakuwa kumekuwa na uvumi wa yeye kuhusishwa na kuihama klabu hiyo majira ya kiangazi mwaka huu.
Mbappe: Niataongea Nikituliza Akiliza Akili Yangu
Kylian Mbappe

Staa huyo wa PSG amekuwa akihusishwa na vilabu kama Real Mdrid na Barcelona vilevile Liverpool katika Premier League wamekuwa wakihitaji saini ya nyota huyo na mkataba wake unatarajiwa kuacha kufanya kazi ifikapo mwaka 2022.

Mbappe amesema kwamba kwa sasa hanataarifa yoyote ya kutoa kama atasaini mkataba mpya na miamba hiyo ya Ligue 1 kwa hiyo ataendelea kukaa kimya mpaka mazungumzo yatakapo fuatiliwa kwa ukubwa.

Akiongea na RTL baada ya Ufaransa kushinda kwa 1-0 dhidi ya Bosnia-Herzegovina mchezo wakufuzu Kombe la Dunia, Mbappe alisema juu ya mktaba mpya PSG: Kama inekuwa imefuataliwa, ningeongelea hilo jambo, kweli nitaongea kuhusu hili pale akili yangu itakapo tulia.

Kwa sasa Mbappe anashika nafasi ya pili kwa wachezaji ghali zaidi katika historia,alisajiliwa akitokea klabu ya Monaco kwa dau la €145m ($171m/$125m) deal mwaka 2017.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

CHEZA HAPA

5 Komentara

    Maamuzi mazuri sana ya kunyamaza kwanza

    Jibu

    Vizuri Sana mamuzi niyake

    Jibu

    Kweli kabisa tuliza kwanza akili

    Jibu

    Yuko sahii

    Jibu

    Mbappe atoe tamko lake mashabiki wake wajue

    Jibu

Acha ujumbe