Kocha mkuu Nate McMillan amesaini mkataba wa mwaka mmoja na timu ya Indiana Pacers.
McMillan amekuwa kocha wa Pacers kwa muda miaka minne sasa na siku ya Jumatano ilithibitishwa amefikia makubaliano ya ya kuongeza mkataba wa kuendelea kukaa Pacers.
“Nilihisi hilo kuwa sahihi kwa pande zote,” McMillan alisema kabla ya mchezo wa Pacers dhidi ya Huston Rockets.
“Kikawaida huwa sifanyi majadilano mpaka baada ya mwisho wa msimu. Huu umekuwa msimu wa tofauti kwetu sote- binafsi, taasisi, na NBA. Na tumekuwa na tukiliongelea hili kwamba kuongeza mwaka mmoja itakuwa kitu sahihi kwa pande zote.“
Masharti kwenye mkataba wa McMillan hayakuwekwa wazi ikiwa Pacers wanajiandaa kwaajili ya michezo ya mtoano au msimu wa nne mfululizo.
Rais wa Pacers katika uendeshaji wa Basketball Kevin Pritchard alisema “Kile Pacers ilichokifanya katika misimu minne na timu yetu tumekiongeza tena.
McMillan anauzoefu wa misimu wa 16 kwenye NBA akiwa kama kocha mkuu aliwahi kuinoa timu ya Portiland Trial Blazers na Seattle SuperSonics.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.
Shafii
Ni jambo zuri pacers kwa kumuongeze mkataba.
Lydia Emmanuel Magoti
Nijambo zuri McMillan kuongeza mkataba
Zeiyana
Nate McMillan ni kocha mwenye akili nyingi na uwezo makubwa alio kua ndio maana pacers wamejua samani yake
Dorophina
Ni vizuri mc millan kuongeza mkataba pacers
Sadick
Sijui kwanini bodi imeamua kumuongezea mkataba wakati Indiana Pacers haijaonyesha mchezo wa kushindania taji NBA kwa miaka ya karibuni#meridianbettz
felister
kila la kheri McMillan kwa kuongeza mkataba wa mwaka mmoja
Nasra
Jambo zuri Sana
Mwajumah
Ni Jambo zuri McMillan kuongeza mkataba#Meridianbettz
Issa
Mac millan safi tu kuitumikia zaid indiana
Rehema
Ni Jambo zuri
Mwanahamisi
Ni Jambo zuri mcmillan kuongeza mkataba
Ernest
Pacers imempiga kitanzi Nate McMillan
Tatu
Amefanya jambo jema kuongeza mkataba
Caroline
Safi Sana Millan
Theckla
Jambo jema
Povel
Pacer imefany Jambo la maana kumpgah kitanz kocha wao
Sauda
Jambo jema kwa Pacers
Adelta
Jambo jema kwa kuongeza mkataba
@meridianbettz
Furahav
Jambo jema.
Saupha mohamed
Jambo zuri
Khadija
Ni jambo zuli
Janeflora malisa
Good
aisha
Ni habari njema kwa sisi mashabiki kisikia mcmillani kuongeza mkataba
warda
Ataweza kweli #Meridianbettz
Revina
Ni jambo jema ,kuna kitu wamekiona kwake sio mawazo yanaweza kufanana ,wengine wanaweza kuona hafai kuongezwa lakini wengine wakawa kuna jambo wameliona kwake
Hope mwaikuka
Kocha mzur huyo
Devotha
Jambo zuri
Gabriel
McMillan kocha mzur sana
Fatuma kasomo
Habari njema
Latifa juma mohamed
Jambo jema Sana
Salma ngende
Jambo zuri
Omary lukumbi
Good news
Venerose
Jambo nzuri sana
Ester jackson
Good
Rose kapinga
Safiiii
Sabrina
Hongera McMillan
Njiku
Good news
Samiah
Gud
farida ahmadi
Habari njema Sana
David Pere
McMillan anauzoefu wa misimu wa 16 kwenye NBA akiwa kama kocha mkuu aliwahi kuinoa timu ya Portiland Trial Blazers na Seattle SuperSonics.Ndio maana ameongezewa
magdalena
habari njema sana
Shan
Jambo zuri.