Messi Amekuwa Mfalme wa Free Kick

Lionel Messi ameanza kampeni za Copa America na Argentina huku akiwa katika fomu na kufanikiwa kufunga bao free kick nzuri sana dhidi Chile.

Messi Amekuwa Mfalme wa Free Kick
Lionel Messi wakati akifunga dhidi ya Chile katika mashindano ya Copa America 2021

Na ilikuwa goli 57 la free kick kwa Lionel Messi katika soka lake, namba ambayo hata Christiano Ronaldo hajaifikia.

Mpaka mchezo dhidi ya Chile wote Messi na Ronaldo walikuwa wamefungana kwa magoli 56 ya free kicik kwa kila mmoja. Messi amefunga mabao 50 ya free kick akiwa na Barcelona na sasa saba akiwa na timu ya Taifa ya Argentina wakati Ronaldo amefunga mabao 13 ya aina hiyo akiwa na Manchester United, 32 akiwa na Real Madrid na 10 akiwa na Portugal.

Idadi hiyo aliyoifika imekuwa ni ya kuvutia ukifikiria kwamba miaka minne iliyopita 2017 Christiano Ronaldo alikuwa na mabao ya free kick 49 na Messi alikuwa na mabao 31 pekee.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

2 Komentara

    Safi sana messi

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

Acha ujumbe