Mil 100 Zampeleka Bangala Azam

Bangala

YANNICK Bangala beki aliyekuwa ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 amekutana na Thank You, huku Yanga wakivuna Tsh milion 100 mauzo ya mchezaji huyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Ni Julai 29 taarifa rasmi kutoka Yanga imeeleza kuwa nyota huyo hatakuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Taarifa hiyo imeeleza namna hii: “Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuutarifu umma kuwa tumefikia makubaliano na Klabu ya Azam FC ya kumnunua mchezaji wetu Yannick Bangala,”.

Bangala hakuwa sehemu ya wachezaji waliotambulishwa ndani ya Yanga kwenye Wiki ya Mwananchi, Uwanja wa Mkapa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Bangala alitambulishwa jioni ya Julai 29, huku taarifa za ndani zikisema kwamba Yanga wamelamba kiasi cha Tsh milioni 100 kutoka kwa matajiri wa Dar Es Salaam.

Ni mkataba wa mwaka mmoja alikuwa amebakiza ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Migueli Gamondi.

Anaungana na Feisal Salum ambaye naye alikuwa Yanga msimu wa 2022/23 wa sasa yupo ndani ya Azam FC naye pia Yanga walifanya mazungumzo na Azam FC kuhusu kumpata Feisal. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe