Paris Saint-Germain ilikubali kipigo cha bao 3 bila majibu kutoka Monaco siku ya Jumapili mchezo wa Ligue 1 PSG ilionekana kuzembea na kutojali kwa kushindwa kuondoka na alama tatu wakicheza bila mchezaji Lionel Messi.
PSG walimiliki mpira kwa asilimia kubwa lakini hawakuwa na madhara katika lango la Monaco na wenyeji walistahili kuongoza katika dakika ya 25 baada ya Youssouf Fofana kufungua nafasi upande wa kulia ambao ulikutana na Ben Yedder na kuweka kambani, Ben aliongeza bao la pili kwa mkwaju wa penalti zikiwa zimesalia dakika sita kumalizika. kucheza. Mchezaji aliyetokea sabu Kevin Volland alifunga bao la tatu la Monaco.
PSG maweshinda michezo miwili pekee kati ya sita kwenye mashindano yote, licha ya kupoteza mechi ya leo lakini timu hiyo ya mji mkuu wa Ufaransa, Paris ipo juu wakiwa na jumla ya lama 65 wakifuatiwa Rennes ambao waliichapa Metz bao 6-1 siku hiyohiyo.
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.