Mourinho: Kane Anajua Namuhitaji Kila Wakati.

Jose Mourinho anamtaka Harry Kane kucheza ‘kila dakika ya kila mechi” lakini amesema kwamba kinara wa mabao wa Tottenham alitakiwa kupumzika siku ya Alhamisi kwaajili ya kujitazamia hali yake ya kiafya.

Mourinho: Kane Anajua Namuhitaji Kila Wakati.

Kane alipata tatizo la kifundo cha mguu kwenye mechi ya kupoteza kwa Liverpool mwezi Januari 28 na anaonekana anaweza kukosa wiki kadhaa alirejea dimbani kwenye mchezo dhidi ya West Brom Februari 7.

Ilikuwa ni hatua ambayo iliwapa Spurs ushindi wa 2-0 na ulikuwa ushindi pekee ambao walipata katika michezo mitano iliyopita.

Baada ya kupoteza kwa Everton katika michuano ya FA Cup na kucheza dhidi ya Manchester City wiki iliyopita Kane hakuweza kusafiri mpaka Budapest kwa mchezo wa kwanza wa Europa League dhidi ya Wolfsberger siku ya Alhamisi

Tottenham walifanya kazi yao bila nyota wao Kane, na Son Heung-min, Gareth Bale, Lucas Moura na Carlos Vinicius walifunga mabao manne katika ushindi wa 4-1 wakiwa na faaida ya mabao manne ugenini.

“Anajua kwamba namtaka kucheza kila dakika ya kila mechi kwa hiyo sio swala kuchagua,” Mourinho aliongea na waandishi alipoulizwa kuhusu Kane.

Kane amekuwa mfungaji bora msimu huu akiwa na Son akiwa ameweka kambani mabao 13 wakati pia nahodha huyo wa Uingereza ametoa asisti 11.


WEWE NI SHUJAA? MASHUJAA WANASHINDA HAPA!

Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

Kasino ya Mtandaoni

INGIA MCHEZONI

10 Komentara

    Kane ni mchezaji makini

    Jibu

    Yuko vizuri ndio maana anamuhitaji

    Jibu

    Am happy for him

    Jibu

    Kane ni mchezaj mzuri

    Jibu

    Pole yake kane Mourinho ameongea sahihi klabu yake inamuhitaji sana kane

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri sana na ndomana wanamuitaji

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Kane yupo vizuri

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Mourinho akikupenda kakupenda

    Jibu

Acha ujumbe