Mourinho:Kane na Ndombele Kuwakabili Arsenal

Harry Kane alitolewa wakati wa mchezo dhidi ya Dinamo Zagreb katika michuano ya Europa League baada ya kupata tatizo la goti lakiwa atakuwa fit kwaajili ya kuwakabili Arsenal siku ya Jumapili hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu wa Tottenham Jose Mourinho.

Mourinho:Kane na Ndombele Kuwakabili Arsenal

Staa wa Spurs Kane alifunga mabao yote mawili katika ushindi wa 2-0 siku ya Alhamisi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora katika dimba la Tottenham Stadium.

Mourinho alimtoa Kane wakati pia mchezaji Tanguy Ndombele alitolewa mapema baada ya bao la pili kufungwa.

Lakini Mourinho anajiamini wawili hao wote watapatikana na kuwa tayari kwaajili ya debi ya Londoni wikendi hii.

Aliulizwa kama kuna jambo lolote la kuongea kuhusu Ndombele, Mourinho aliiambia BT Sport: “Sidhani kama ninalo, hata kwa Harry, siamini kama kuna jambo lolote kubwa.

“Ujue kuna mechi ambayo kila mtu anataka kucheza na vitu vidpgo haviwezi kwenda kuwazuia kucheza siku ya Jumapili, naamini watakuwa vizuri.

Kane ambaye alikuwa na mashuti matatu na kutengeneza nafasi mbili kwenye mechi ya jana, sasa amehusika kwenye mabao sita (amefunga mara nne na kutoa asisti mbili) katika mechi mbili za Spurs zilizopita.


Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.

Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino ya Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.

7 Komentara

    Bonge la game

    Jibu

    Asante kwa taalifa

    Jibu

    Habar nzur hii

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Vizuri game lakufa mtu hilo

    Jibu

    Good

    Jibu

    Litakuwa bonge la mechi

    Jibu

Acha ujumbe