Msuva Kurejea Wydad Casablanca

Baada ya muda wake wa mapumziko mafupi kumalizika nchini, mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva amerejea zake Morocco kuendelea na majukumu ya kuitumikia timu yake Wydad Casablanca.

Msuva alipewa mapumziko hayo mafupi ambayo yalimalizika Jumamosi baada ya majukumu mazito ya kitaifa aliyokuwa nayo ya kuipigania timu yake ya nyumbani Taifa Stars dhidi ya Libya.

MSUVA

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga, ameondoka nchini kibabe huku akitamba kwamba pindi atakaporejea anaweza kurudi na medali ya kutwaa Ligi ya Mabingwa Afrika au Ligi Kuu Morocco maarufu kama Batola Pro.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

2 Komentara

    Sio mbaya akaendelee kulitangaza taifa

    Jibu

    Fresh

    Jibu

Acha ujumbe