Simba,Yanga: MAFANIKIO katika kupata matokeo chanya katika mechi zote iwe za kitaifa na kimataifa yanabebwa na nidhamu. Nje ya uwanja na ndani ya uwanja muhimu kila timu kuzingatia hilo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Kazi ipo kwa wawakilishi wetu kimataifa kuendeleza mwendo mzuri kupata matokeo chanya katika mechi za kimataifa ambazo zipo njiani.
Yanga wao walipata ushindi dhidi ya Al Merreikh kwa ushindi wa mabao 0-2 huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wana kazi nyingine kusaka ushindi wakiwa nyumbani.
Tunaona wachezaji walijituma kutafuta matokeo mwisho ikawa ni ushindi kwenye mechi yao ugenini na kuna mchezo mwingine Uwanja wa Mkapa.
Simba wao waliambua sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos bado wana nafasi nyingine ya kutafuta matokeo kwenye mechi ya nyumbani. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Kikubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kimataifa ni muhimu kufanyia kazi makosa na kurejea nyumbani wakiwa na mpango kazi mwingine kusaka matokeo mazuri.

Singida Fountain Gate kete yao ni dhidi ya Future kwenye mchezo wa kwanza walipokuwa nyumbani walipata ushindi wa bao 1-0. Ugenini kazi nyingine kuulinda ushindi huku wakitafuata ushindi.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Kila kitu kinawezekana na muda ni sasa kufanya yote hayo kwa ajili ya kupeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.
Wachezaji na benchi la ufundi kila la kheri kwenye maandalizi ya mwisho na mashabiki mwendelezo wa kushangilia timu ubaki palepale.
Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


