Nagelsmann Amuonya Kimmich Juu ya Chanjo ya COVID-19

Kocha mkuu wa Bayern Munich Julian Nagelsmann amesema kwamba aliwasiliana na Joshua Kimmich baada ya kiungo huyo wa Ujerumani kukiri kwamba hajapata chanjo ya COVID-19.

Nagelsmann Amuonya Kimmich Juu ya Chanjo ya COVID-19

Bayern Munich ambao wanajiandaa kucheza dhidi ya Borussia Monchengladbach katika michuano ya DFB-Pokal ikiwa ni hatua ya pili wamekuwa bila kocha wao baada ya kocha huyo wa zamani wa RB Leipzig kugundulika kuwa na maambukizi ya coronavirus.

Kimmich ambaye alikuwa mchezaji muhimu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hoffenheim alielezea kwamba haja chanja kwa sababu anataka kufanya uchunguzi zaidi kabla ya kujihusisha na mpango huo.

Nagelsmann Amuonya Kimmich Juu ya Chanjo ya COVID-19

Rais wa zamani wa Bayern Karl-Heinz Rummenigge haraka alijibu kwamba Kimmich anapaswa kupata chanjo ingawa Nagelsmann aliingilia kati kumaliza sakata siku ya Jumanne.

” Kuna mambo mengi yakuongelea,” Nagelsmann aliwaambia maripota akiwa nyumabani akihojiwa kwa video. “Ni muhimu kila mtu kuwa na maoni yake na kuamua wenyewe kwenye kila jambo.

“Nilimwandikia ujumbe baada ya mahojiano yale nilimwambia kwamba kuna maswala rahisi sana ya kuongelea ukiwa kwenye jumuiya.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.