Neymar Aweka Muenekano Mpya wa Nywele

Neymar kawaida hushtua mashabiki uwanjani kwa uwezo mkubwa aliyonao wa kuucheza mpira akiuzungusha kwa ujasiri na nje ya uwanja , lakini wakati huu ameifanya kwenye muonekano wake mpya wa nywele.

Baada ya kipindi cha masaa manne na wataaalamu wa watengenezaji wa nywele, nyota huyo wa Brazil sasa amepata dreadlocks blonde, ambazo zimepeleka media za kijamii  kumuongelea zaidi.

Nyota huyo wa Paris Saint-Germain kwa sasa yuko likizo baada ya kupoteza fainali ya Copa America na Brazil dhidi ya Argentina.

Hii sio mara ya kwanza Neymar kufanya kitu kisichotarajiwa na nywele zake, baada ya kuipaka rangi ya waridi msimu uliopita akiongoza mechi dhidi ya Montpellier.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet

Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.