NYOTA wa Kimataifa wa Brazil Neymar anaripotiwa kuwa anataka kujiunga na Manchester United msimu huu wa joto lakini hana nia ya kuondoka Paris Saint-Germain na kujiunga na klabu nyingine yoyote. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 akiwa PSG anaonekana kushuka uwezo huku klabu hiyo ikitarajia kuanza upya baada ya kushindwa kwa miaka mingi kwenye Ligi ya Mabingwa UCL.
Neymar amekuwa na uhusiano mgumu na wafuasi wa PSG katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, ukichanganya na majeraha na umri umeifanya klabu hiyo kufikiria kumuuza katika majira ya joto. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Kwa mujibu wa The Sun linadai Mbrazil huyo, ambaye amebakiza miaka minne kwenye mkataba wake wa pesa nyingi, atakubali kuhamia Old Trafford.
Man Utd wanajulikana kuwa wanatafuta mshambuliaji mwingine huku Erik ten Hag akikiri kuwa wanahitaji mtu wa kusaidiana na Marcus Rashford. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Neymar amefunga mabao 118 katika mechi 173 alizochezea PSG, na anaripotiwa kulipwa mshahara wa wiki unaokaribia paundi milioni 1 na bila shaka atalazimika kupunguza mshahara mkubwa ili kujiunga na United. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.