Erasto Nyoni kiraka wa Simba amefunguka kuwa pamoja na hali ya hewa ya Afrika Kusini kuwa ya baridi kali lakini hawatakubali iwe kigezo cha kushindwa kupata matokeo mazuri kwani morali ipo juu hivyo watapambana.
“Kwa namna yoyote tutahakikisha tunapambana kupata matokeo mazuri, hali ya hewa ni baridi kali lakini haitakuwa kikwazo kwetu kushindwa kupata ushindi.”amesema Nyoni
Sambamba na hilo Nyoni amewaomba wana Simba kote Duniani kuendelea kuwaombea ili wawe salama kabla ya mchezo ili kufanikisha malengo waliyojiwekea .
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Erasto Nyoni amecheza kwa mafanikio makubwa tangu ajiunge na Simba
Safi sana nyoni kwa kujiamini na kweli mnaweza
Wapo sahii mwenyezi mungu awatanguliye
Safi sana nyoni
Safii sana
Kujiamini ndo Jambo jema
Kujiamini ndio kila kitu
Big up kwake
Wapambane kwer kwer
Msilete visingizio
Simba 2-0
Safi sana