Kocha Mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer, amesema kuwa anahitaji kuongeza nyota wapya watatu ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao.
Kocha huyo ambaye msimu huu alikuwa katika ubora wake hasa mechi za ugenini ambapo hawajafungwa mchezo wowte kati ya 19 anahitaji kuongeza nguvu zaidi ili aweze kushindana na mpinzani wake mkubwa Manchester City.
Katika Ligi Kuu England, Manchester United imekamilisha msimu kwa kujikusanyia jumla ya pointi 74 ikiwa ni namba mbili huku Manchester City ikiwa ni namba moja na pointi zao ni 86.
Mchezo wao wa mwisho kwa msimu Manchester United ilishinda jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Wolves.
Kocha huyo amesema:”Kwa sasa tunaangalia kwenye kikosi chetu wachezaji gani watasalia hapa na ambao wanatakiwa kuondoka na pia wale watakaotoka kwenda kupata uzoefu.
“Matumaini yangu kuboresha kikosi changu, wachezaji wawili ama watatu nahitaji ndani ya kikosi changu,”..
Bonasi ya 50% Kila Siku Katika Kasino za Evoplay hapa Meridianbet.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Ole anatakiwa kinda kikundi kizuri kwa msimu ujao ili atwae ubingwa
Good new