Sunday, October 2, 2022
Nyumbani Daily News Ukurasa 1126

Daily News

Usajili

Fununu za Usajili

2
Kwa sasa ligi nyingi zipo kwenye hatua za mwisho kabisa kuhitimisha mizunguko yake katika ngazi zote za ndani ya ligi husika. Kukiwa katika hatua hiyo mara nyingi hupelekea klabu nyingi kutathmini na kuangalia wapi waliteleza ili waweze kupaziba mapema...
“Nilijihisi Nitakufa Nikiwa na Miaka 30!” – Tony

“Nilijihisi Nitakufa Nikiwa na Miaka 30!” – Tony

3
Mwanamichezo na mkongwe wa soka Tony Adams amekiri wazi kwamba hakudhani kama angeweza kufika umri alionao hivi leo kutokana na magumu aliyopitia na yaliyompa mtihani mkubwa sana. Alifikia hatua akajiona kabisa kama ni vigumu kwake kusonga mbele. Suala la matumizi...

Wenye Thamani Kubwa PL

4
Kila mchezaji huwa na nafasi kubwa ndani ya ligi yake na hata taifa kwa ujumla. Mengi anayoyafanya humkweza na kumfanya aonekane mwenye thamani na ushawishi mkubwa kisoka hata kwa wale wanaomfuatilia mchezaji huyo. Hilo hutokana na kupambana kwake, uwezo...
Leeds

Hili Liruhusiwe Kwenye Soka?

2
Kocha wa klabu moja ya Uingereza, katika hali ya kushangaza na kihistoria katika soka, aliwashinikiza wachezaji wake kuwaacha wachezaji wa timu pinzani wafunge goli bila kuwazuia ikiwa kama sehemu ya malipizi ya goli walilowafunga wenzao huku wakishindwa kufuata kanuni...

Coutinho Kucheza na Neymar

0
Nyota wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Philippe Coutinho anatamani sana kucheza pembeni ya nyota na raia mwenzake wa taifa hilo, Neymar. Nyota huyo ameeleza nia yake ya dhati kucheza na ndugu yake huyo wakiwa...
Safu Bora za Ulinzi Ulaya

Safu Bora za Ulinzi Ulaya

1
Kocha wa zamani wa Manchester United mwenye historia yake kwenye ligi kuu ya Uingereza aliwahi kusema kwamba, "kushambulia kunakufanya ushinde mechi yako, lakini kulinda kunakufanya ushinde mataji" akiwa na maana kwamba safu hizi mbili ni rafiki mno kwa klabu...
“Tunataka Wachezaji Wenye Uhalisia!” – Ole

“Tunataka Wachezaji Wenye Uhalisia!” – Ole

2
Mambo yanaendelea kuwa magumu ndani ya klabu ya Manchester United kukiwa hakuna matokeo yanayoridhisha ndani ya klabu hiyo jambo ambalo linakuwa haliendi sawa upande wa kocha kwani tangu apokee kikosi hicho kwa mkataba wa kudumu hajapata matokeo ya aina...
Sevilla Kutua Bongo!

Sevilla Kutua Bongo!

2
Klabu ya soka inayokipiga katika ligi ya Hispania inategemewa kutua nchini Tanzania kama sehenu yao ya maandalizi ya mapema ya msimu mpya wa ligi. Baada ya ligi kukamilika mizunguko yake klabu nyingi huchukua nafasi ya kusafiri na vikosi vyao...
Roman Abramovich

Wamiliki wa Klabu Vigogo!

0
Mara nyingi wengi hudhani kumiliki klabu ni uwekezaji mkubwa sana kutokea lakini ni biashara ambayo inahitaji akili, uwazi, kujitoa na kuchukua tahadhari kubwa sana katika utekelezaji wake. Leo tunakuletea matajiri wanaomiliki klabu na kiwango cha pesa walichonacho kwenye uwekezaji...
Waziba Nafasi ya Pogba

Waziba Nafasi ya Pogba

2
KUMEKUWA na stori za Paul Pogba juu maisha yake katika kikosi cha Ole Gunnar kutokana na taarifa zinazofukuta kikosini hapo kuhusu mahitaji ya nyota huyo na aina za klabu zinazotumia muda wao mwingi kutamani kufanya kazi na nyota huyo....

MOST COMMENTED

Timothy Castagne Alichagua Leicester Sio Kusalia Atalanta

29
Timothy Castagne ameelezea sababu kwa nini aliamua kuondoka Atalanta na kuungana na Leicester City. Kwa mujibu wake, moja ya sababu ilikuwa ni kutoendana na kocha...

HOT NEWS