Sunday, October 2, 2022

Daily News

Kane Kinara wa Ufungaji Kwenye London Dabi

0
Mshambuliaji wa Tottenham Spurs Harry Kane amempita Thierry Henry na kuwa mfungaji bora katika Ligi ya Primia kwenye Dabi ya London ambapo amefunga bao kwa mkwaju wa penati hii leo dhidi ya Arsenal.   Nahodha huyo wa Uingereza amefikisha bao moja...

Suarez Ataka Majibu Kutoka kwa Koeman

0
Mchezaji wa Atletico Madrid  Luis Suarez anataka aliyekuwa kocha wa zamani Ronald Koeman amwambie  kwanini alimuondoa katika klabu yake ya Barcelona miaka miwili iliyopita.   Suarez alijiunga na wapinzani wao ambao ni  Atletico Madrid kwa uhamisho wa bure Septemba 2020 baada...

Pep Guardiola: City Itabaki Kuwa Bora

0
Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola ameongelea juu ya mustakabali wake huku akisema kuwa "Ikiwa nitabaki Man City ni sawa, Nisipobaki Man City klabu itakuwa kamili pia", alikiambia Kituo cha michezo cha Sky Sports.   Kocha huyo ambaye amepata mafanikio...
eric ten haag

Eric Ten Haag: Rashford analeta Ubora Uwanjani.

0
Kocha wa Manchester United Eric Ten Haag amesifu ubora wa nyota wa klabu hiyo baada Marcus Rashford baada ya kuulizwa swali kuhusu mchezaji huyo. Eric Ten Haag amesema hayo baada ya kuulizwa kuhusu nyota huyo katika mahojiano aliyoyafanya kuelekea mchezo...

Chelsea Wapo Mbele Kumsajili Nkunku Baada ya Vipimo

0
Chelsea baada ya kufanya vipimo vya siri na mchezaji wa Rb Leipzig Christophe Nkunku na kupiga hatua mbele zaidi kuwazidi wapinzani wao kwenye usajili wa mchezaji huyo anayecheza eneo la ushambuliaji.     Kulingana na The Telegraph, The Blues walifanya vipimo vya...
rekodi

Rekodi Zinaibeba United Mbele ya City Etihad.

0
Rekodi zinaibeba klabu ya Manchester United dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad ambapo ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Manchester City. Mchezo kati ya vilabu hivo vinavyotoka katika jiji moja utapigwa kesho siku ya jumapili oktoba 2...

Bayern Amaliza Hasira Zake kwa Leverkusen

0
Klabu ya Bayern Munich imetoa hasira zake hapo jana katika mchezo wa Bundesliga wa raundi ya 8 baada ya kuichapa Bayer Leverkusen kwa mabao 4-0 wakiwa nyumbani kwao Allianz Arena.   Mabao hayo yalitupiwa katika vipindi tofauti, ambapo kipindi cha kwanza...

Zanzibar Yaruhusu Ngumi

0
Zanzibar imeruhusu mchezo wa ngumi kufanyika kisiwani hapo, ambapo kupitia hoja iliyowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita aliyoitoa Bungeni.   Kubalika kwa mchezo huo kumekuja baada ya kufanywa kwa utafiti kwa wananchi, na idadai kubwa...

Ibrahim Class Ashinda kwa KO

0
Bondia Mtanzania Ibrahim Class ashinda kwa KO katika raundi ya tisa hapo jana katika mshindano ya ngumu ambayo yameanzishwa na muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji maarufu kama (Mo Boxing) ambapo bondia huyo alikuwa akizitwanga na Alan Pina kutoka Mexico.   Ibrahim...
yanga

Yanga wanataka kuifunga Ruvu.

0
KUELEKEA mchezo wao wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, benchi la ufundi la Yanga limefunguka kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wanahitaji pointi tatu ili kuendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo. Yanga tangu msimu wa 2021/22 mpaka sasa haijawahi kupoteza...

MOST COMMENTED

AJ Asanda, Akubali KIchapo kwa Andy Ruiz

2
Anthony Joshua ameandika historia ya kuchapwa pambanolake la kwanza toka alipoanza kucheza ngumi za kulipwa. Andy Ruiz alifanya vyema kwenye moja ya pambano bora...

Droo ya EUROPA, Timu 32.

HOT NEWS