Beki wa kimataifa wa Uholanzi Matthijs De Ligt ameweka wazi hana mpango wa kuondoka ndani ya viunga vya Allianz Arena na badala yake ataendelea kuitumikia klabu hiyo. De Ligt amekanusha …
Makala nyingine
Harry Kane na Eric Dier watakutana na klabu yao ya zamani ya Tottenham Hotspur, wakati Bayern Munich watakapocheza mechi ya kirafiki kwenye majira ya joto mnamo tarehe 10 Agosti. Beti …
Beki wa kulia wa klabu ya Manchester City na nahodha wa klabu hiyo Kylie Walker bado haijajulikana kama ataweza kuwepo katika mchezo dhidi ya klabu ya Arsenal siku ya Jumapili. …
Nyota wa Inter Miami, Lionel Messi, ameeleza kwamba maisha yake yalibadilika ghafla alipoambiwa hawezi kuongeza mkataba wake na Barcelona lakini masaa 72 baadaye, alikuwa Paris, tayari kusaini na Paris Saint-Germain …
Kobbie Mainoo ameonesha aina tofauti ya mchezaji wa kiungo katika timu ya taifa ya Uingereza, alisema kocha wa timu hiyo Gareth Southgate wakati akikiandaa kikosi chake na Euro 2024 baada …
Kocha wa zamani wa vilabu vya Real Madrid, Chelsea, Man United, Fc Porto, As Roma na Inter Milan Jose Mourinho amefunguka kua hajutii kukataa ofa ya kuinoa timu ya taifa …
Klabu ya Villarreal imefanikiwa kumpa mkataba mpya kiungo wake mkongwe Dani Parejo ambaye ataendelea kuwepo kwenye viunga vya Estadio de la ceramica mwaka 2026. Kiungo huyo ambaye ana miaka minne …
Timu ya taifa ya Uingereza chini ya kocha Gareth Southgate leo itashuka tena dimbani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Ubelgiji usiku wa leo. Mchezo uliopita …
Klabu ya Arsenal inahusishwa na mlinzi wa eneo la kati anayekipiga katika klabu ya Sporting Lisbon ya nchini Ureno raia wa kimataifa wa Ivory Coas Ousmane Diamonde. Arsenal inahusishwa na …
Mtaalamu wa habari za usajili Fabrizio Romano anadai kwamba Liverpool na Bayern Munich “wanavutiwa sana na” Xabi Alonso ikiwa wote wapo sokoni kusaka kocha mpya baada ya wakufunzi wao kutangaza …
Beki wa kulia wa klabu ya Manchester City Kylie Walker amemmwagia misifa beki wa kulia wa klabu ya Bayern Leverkusen vinara wa ligi kuu nchini Ujerumani Jeremie Frimpong. Kylie Walker …
Klabu ya Manchester United inaelezwa itaingia sokoni kutafuta beki wa kushoto ambaye atakuja kusaidiana kazi na beki wa kimataifa wa Uingereza klabuni hapo Luke Shaw. Manchester United inaelezwa wanapanga maboresho …
Beki wa pembeni wa Torino, Raoul Bellanova alivutia sana kwenye mchezo wake wa kwanza wa Italia, huku Chelsea, Manchester United, West Ham na Aston Villa zikimfuatilia. Mchezaji huyo mwenye umri …
Inaonekana Harry Kane atakuwa fiti kwa ajili ya kukabiliana na Arsenal katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa mwezi ujao baada ya kuanza mazoezi pamoja na Bayern Munich. Mechi hii sio …
Mshambuliaji wa Argentina Angel Di Maria alipokea tishio nyumbani kwake na familia yake katika maeneo ya pembeni ya Mji wa Rosario alfajiri ya Jumatatu, vyombo vya habari vya eneo hilo …
Kwa mujibu wa habari, Juventus wanaweza kumtumia mlinzi Dean Huijsen kuwapa makali katika mbio za kumnasa kiungo wa Atalanta Teun Koopmeiners. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi ni tegemeo sokoni …
Atalanta wana matatizo ya majeraha katika mechi ya Jumamosi ya Serie A dhidi ya Napoli, kwani Charles De Ketelaere na Teun Koopmeiners ni wachezaji ambao wanawapa mashaka makubwa. Hiki ni …
Victor Osimhen amerejea mazoezini na Napoli baada ya kujiondoa katika majukumu ya kimataifa na Nigeria na anaweza kuwa fiti kukabiliana na Atalanta. Mshambuliaji huyo wa kati alilazimika kujiondoa katika nafasi …
Ripoti za Italia zinadai kuwa Nottingham Forest ilimpa Maurizio Sarri mkataba wa miaka mitatu baada ya kujiuzulu kutoka Lazio, lakini akawakataa. Kocha huyo alijiuzulu mnamo Machi 13 kufuatia kushindwa mara …
Atletico Madrid wanaripotiwa kutajwa kuwa vinara wa kuwinda kiungo wa Atalanta Ederson, ambaye pia amekuwa akihusishwa na Juventus na Tottenham. Kulingana na gazeti la Kihispania la Marca, Diego Simeone wa …