Makala nyingine

Klabu ya Barcelona inaendelea ilipoishia kwani leo tena imefanikiwa kushinda mchezo wake wa nne mfululizo kwenye ligi kuu ya Hispania msimu huu baada ya kuichabanga Girona mabao manne kwa moja. …

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Morocco Brahim Diaz inaelezwa anaweza kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili baada ya kupata majeraha ya misuli …

Victor Osimhen ameunganishwa tena na rafiki yake na mchezaji mwenzake wa zamani wa Napoli Dries Mertens baada ya Mnigeria huyo kuhamia kwa mkopo Galatasaray dakika ya mwisho baada ya kufungwa …

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo ambayo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni ambapo Dodoma Jiji watawaalika nyumbani kwao Namungo Fc. Dodoma Jiji kwenye mechi mbili …

Klabu ya Manchester United inaelezwa ina mpango wa kumsajili kiungo wa zamani wa klabu ya Juventus raia wa kimataifa wa Ufaransa Andrien Rabiot kwa mipango ya muda mfupi kwa dili …

1 2 3 4 5 6 913 914 915