Makala nyingine

Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Manchester United Omar Berrada amezungumza juu ya mipango ya klabu hiyo kuhakikisha wanairejesha kwenye kilele cha ubora wake wambao ilikua nao kwa miaka mingi iliyopita. …

Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo inaonekana bado ana dukuduku na kocha wa klabu ya Manchester United kwani ameendelea kumtupia madongo kocha Erik Ten Hag kupitia …

Elliot Apata Majereha

Kiungo wa klabu ya Liverpool raia wa kimatiafa wa Uingereza Harvey Elliot amepata majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja nusu kutokana na taarifa iliyotoka. Elliot amepata …

Bado ni kizungumkuti kwenye sakata la kiungo wa Simba Yusuph Kagoma, baada ya klabu ya Yanga kumshitaki mchezaji  huyo kwenye Kamati ya Maadili na Hadhi ya Wachezaji iliyopo chini ya …

Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amezungumza juu ya muenendo wa kocha mpya ndani ya klabu hiyo Hans Flick raia wa kimataifa wa Ujerumani ambaye anaonekana kuanza vizuri. Laporta …

KLABU ya Fountain Gate FC inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Mbuni FC tareha 7 siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara. Mbuni ambayo inatokea …

1 2 3 4 5 6 7 913 914 915