Makala nyingine

Eden Hazard anasumbuliwa na jeraha lililopelekea kutolewa nje kwenye mchezo wa Jumamosi ambapo Real Madrid ilipoteza kwa 2-1 dhidi ya Diportivo Alaves. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Belgium amekuwa akisumbuliwa …

Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali November 29, 2020. Ratiba: England – Premier League 17:00 Southampton vs Manchester United 19:30 Chelsea vs Tottenham Hotspur 22:15 Arsenal vs Wolverhampton Wanderers France …

Tetesi zinasema mkurugenzi wa michezo wa Borussia Dortmund Michael Zorc anatazamia kumuona mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland katika klabu hiyo kwa muda mrefu. Nyota huyo aliye na miaka 20- …

Reading walimaliza ukame baada ya mechi tano za Championship bila ushindi kwa kuifunga Bristol City  bao3-1 kwenye dimbani Madejski. Haikuwa rahisi kuchagua nani angeshinda kwenye kipindi cha kwanza. Reading walisonga …

Bado hali ni tete kuhusu hatma ya Georginio Wijnaldum ndani ya kikosi cha Jurgen Klopp kuanzia msimu ujao. Mkataba wa Wijnaldum unamalizika mwishoni mwa msimu huu na mpaka sasa,maongezi ya …

Licha ya kuuanza msimu kwa matokeo ya kusuasua, kocha wa Manchester City – Pep Guardiola amethibitisha kutosajili mchezaji yeyote mwezi Januari mwakani. Unaweza ukamshangaa Pep Guardiola kwa kuliongelea hili ikiwa …

Inter Milan inaripotiwa kuwa katika mazungumzo na Lautaro Martinez juu ya mkataba mpya wa muda mrefu huko San Siro. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina alihusishwa sana na kuhamia Barcelona …

Baada ya kuhusishwa na vilabu mbalimbali bila mafanikio, hatimaye beki wa Ajax Amsterdam – Nicolas Tagliafico ameamua kubaki Uholanzi mpaka 2023. Hatua hii inafikiwa baada ya wakala wa Nicolas Tagliafico …

Mlipuko wa virusi vya COVID19 umetikisa uchumi wa kila sekta. Kwenye sekta ya michezo, klabu mbalimbali ikiwemo Barcelona zilitikiswa na virusi hivyo. Kufuatia kuporomoka kwa uchumi, klabu zilihitaji kuchukua hatua …

Kocha wa Bayern Munich Hansi Flick anataka kuona mengi kutoka kwa mchezaji Leroy Sane lakini amesema mshambuliaji huyo anahitaji muda. Tangu ajiunge na Bayern akitokea Manchester City kwa dau linaloripotiwa …

Wachezaji wa Real Madrid, Karim Benzema na dani Carvajal wataukosa mchezo dhidi ya Alaves katika ligi kuu ya Uhispania siku ya leo. Kikosi cha Real Madrid leo asubuhi kimefanya mazoezi …

1 2 3 694 695 696 697 698 699 700 869 870 871