Makala nyingine

Mnyama Atafunwa!

  Baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo mazuri ndani ya ligi na baadhi ya mechi za kimataifa klabu ya Simba imekubali kupokea kichapo kingine mbele ya Waalgeria, J. S. …

  Mario Balotelli ameweka wazi kuwa anataka kuendelea kusalia Marseille hata baada ya msimu huu kuisha akisisitiza kuwa klabu hiyo ipo lrvo nyingine ukifnanaisha na Nice. Balloteli alichapa jumla ya …

  Michuano ya tenisi ya Indian Wells inaendelea kupamba moto huku baadhi ya washiriki wakitoboa kuingia raundi ya tatu ya michuano hiyo. Serena Williams ameweza kumlaza chali mpinzani wake. Serena …

  Msemo unaotaja kuwa wanawake wakiwezeshwa wanaweza unaanza kupotea, msisitizo unawekwa katika usawa kwa jinsia zote mbili! Adidas hawako nyuma. Jitihada za kusisitiza na kutetea usawa katika nyanja zote za …

  Miongoni mwa wachezaji ambao wameweza kujijengea heshima kubwa sana katika soka ni Ibrahimovic kutokana na kuyaishi maisha yake halisi katika ubora, uwezo na hata kutumia mbinu zake zote kuzipaisha …

  Pongezi ni kitu ambacho kila mmoja hupenda kufanyiwa pale anapoonekana kufanya jambo fulani au kitu fulani kwa mafanikio makubwa. Jambo hilo mara nyingi huchochea utendaji kazi na mara nyingi …

Gemu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ya PSG dhidi ya Manchester United ilikuwa kali na kuacha matokeo ya kihistoria yaliyokuwa na nafuu kwa Manchester United chini ya Ole Gunnar Solskjaer. …

Viwanja Bora Duniani

  Soka sio tu mchezo wa kushindanisha timu mbili uwanjani, pia linaendana na uwekezaji katika viwanja ambavyo mara nyingi huwa ni kivutio kikubwa cha mashabiki; pia huchochea wachezaji kucheza kwa …

  Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Marouane Fellain ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mwanasoka huyu ameweka wazi kuwa kwa sasa hatakuwa mchezaji wa kimataifa wa Belgium. Staa huyu alikamilisha usajili …

  Kama siku zote wasemavyo wahenga, ‘Safari ya kesho huandaliwa leo’ basi haya yameanza kujibainisha mapema sana katika ligi kuu ya Uingereza ambayo imeanza marekebisho ya mapema kabisa kwa baadhi …

  Ligi ya Uingereza inaendelea kusuka pesa za kutosha kwa sasa huku ikiendelea kuwalipa wachezaji wake vizuri ili kuwavuta waendelee kukaa katika vikosi vyao na kutoa huduma stahiki. Dili mbalimbali …

  Ili mpira ukubalike miongoni mwa wanamichezo na wapenda soka lazima kuwepo na watu wanaowashawishi kuwatazama pindi wakiwa uwanjani. Kutokana na hilo wanachangia wao kulipenda soka hilo. Pamoja na hilo …

1 2 3 910 911 912 913 914 915