Makala nyingine

Kombe la mataifa ya Afrika ambalo ndilo linajulikana kama AFCON ni kati ya mataji makubwa sana kwenye soka la Afrika na lina heshima ya pekee sana kwa kukutanisha wachezaji wa …

Lovren awatahadharisha Majogoo, mlinzi wa klabu ya Liverpool ameamua kufunguka na kuwapa uhalisia matajiri wake kwamba kurudi kwa mshindani mwenzake, Joe Gomez ndani ya kikosi hicho ni hatari sana kwa …

Mguu Ndani, Mguu Nje!

Rekodi ndani ya timu ya taifa zinazidi kwenda vibaya kwa mchezaji mwenye heshima kubwa ndani ya soka, Messi. Amekuwa kwenye wakati mgumu sana katika timu yake huku wengi wakiamini kwamba …

Mata Apata Ulaji Tena!

Nyota na mchezaji wa klabu ya Manchester United, Juan Mata amemwaga wino ndani ya klabu yake hiyo huku akiwa na uwezekano mrefu zaidi wa kundelea kusalia kikosini hapo hata kwa …

Platini Aachiwa

Aliyekuwa Rais wa FIFA msimu uliopita alikamatwa kwa tuhuma zilizokuwa zinaendelea juu yake kwamba alijihusisha na udanganyifu katika kuchagua mahali ambapo mashindano ya kombe la dunia linakwenda kufanyika msimu ujao. …

Waandaji wa mashindano ya Copa Amerika msimu huu safari yao inatia wasiwasi kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza ikiwa ni vigumu sana kwao kupata matokeo yanayoridhisha. Kitendo hicho kinaonekana kuzua …

Matajiri wanaomiliki klabu ya Real Madrid wapo mbioni kuangalia namna watakavyoweza kufanya biashara na kunasa wachezaji ndani ya kikosi cha Manchester United hususan mchezaji ambaye wamekuwa wakimfukuzia kwa kipindi kirefu …

Fununu za Usajili

Willian sokoni tena, klabu za Hispania ambazo ni Barcelona na Atletico ziko mbioni kujaribu kuwashawishi Chelsea kama wanaweza kumuachia nyota wa kikosi hicho baada ya kuridhishwa na kiwango chake cha …

Kila klabu ipo mbioni kujinasua kutoka kwenye mwenendo ambao hauipi matunda mazuri klabu kwa kuangalia wachezaji ambao watasaidia kurejesha heshima ndani ya vikosi vyao. Ni jambo ambalo lazima litahitaji kuuza …

Bado Balaa Zito United!

Huku klabu nyingi zikiwa zimeanza kufanya sajili zao mapema ili kuziba macho ya wengine kuingilia biashara hiyo, upande wa United bado kiza kinaendelea kutanda kukiwa hakuna wachezaji ambao wanaonekana kupewa …

Michuano ya Copa Amerika bado inaendelea kupamba moto kwa nafasi yake na katika hilo kila taifa linajitahidi kuonesha upinzani wa aina yake ili kulinda heshima yake. Pamoja na hilo inafahamika …

Ni Wakati Sahihi?

MSIMU ujao klabu ya Chelsea itakuwa ikiwakilisha Uingereza kwenye michuano ya kimataifa hususan klabu bingwa na kwa sasa wanashikilia rekodi ya kunyanyua kombe la Europa League baada ya kuwashinda washindani …

Brazil Waanza Vizuri

Michuano ya timu zinazopatikana upande wa Marekani ya Kusini imeanza kutimua vumbi huku wenyeji wa michuano hiyo wakianza vizuri kwa kuwasha moto mzito mbele ya mgeji wao, Bolivia ambaye alionekana …

Umewahi kuhoji ndani ya viunga vya United juu ya nani aliitendea haki jezi namba 10 uwanjani? Kila shabiki wa United atasema ni jezi yenye historia kubwa sana ndani ya viunga …

Mameneja Bora Duniani

Soka ni mchezo ambao furaha yake ni kuacha alama kubwa ndani ya eneo ambalo makocha ama wachezaji wanakuwa wanapewa kazi kwa kuaminiwa katika nafasi zao. Jambo la pekee kwa kocha …

Walinzi Bora Ulaya

Soka ni mchezo unaobadilika siku zote, tangu zama ambazo timu zilikuwa zinacheza kujilinda sana zaidi ya kushambulia hadi pale ambapo wapo kwa sasa. Kwa kiwango kikubwa walinzi ni sehemu muhimu …

Sarri Kutua Juventus

Kocha wa Chelsea ambaye anakiongoza kikosi cha mabingwa hao wa UEFA Europa League amekuwa na nafasi ya pekee sana kupata nafasi ya awali kutua ndani ya klabu ya Juventus ambapo …

Inaonekana kwamba klabu ya Barcelona ipo mbioni kukamilisha dili la kumchukua nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Atletico ambaye kwa kiwango kikubwa amekuwa sokoni kuwavutia mabingwa hao wa jiji la …

Madrid Waongeza Kifaa

MADRID wapo katika harakati za kuangalia kwamba kikosi chao kinakuwa na ushindani mkubwa katika msimu ujao bado wapo katika harakati za kusajili majina ambayo yataweza kusaidia kutetea mataji msimu ujao. …

Griezman Njiapanda

Nyota na mchezaji wa Atletico Madrid ambaye ameweza kusalia kikosini hapo kwa kipindi kirefu sana hadi sasa na kuisaidia timu yake hiyo kufikia hatua ya pekee sana kwenye mataji na …

1 2 3 912 913 914 915 916 917 918 926 927 928
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.