Makala nyingine

Magoli 100 ya Haraka PL

Ligi kuu ya Uingereza imeshuhudia wachezaji wengi wakiweka historia ya kutikisa nyavu mara 100 wakiwa katika umri mdogo kabisa. Kama ilivyo ada kufikisha idadi hiyo ya magoli ni ndoto ya …

Kuna wakati ukiruhusu hisia zikuendeshe kuna uwezekano mkubwa ukajikuta unaingia kwenye mikono ya hukumu au sheria zikashika mkondo wake. Vivyo hivyo suala hili huwakuta wachezaji pale wanapotumia mitandao ya kijamii …

Silva Amwaga Wino

Bernado Silva amekuwa nguzo kubwa sana ndani ya kikosi cha Guardiola msimu huu akionesha uwezo wa juu kabisa ndani ya ligi hiyo upande wa kufunga, kutoa pasi za muhimu na …

  Huku ligi ya Uingereza ikiwa inaelekea mwishoni mwa mashindano yake, huku kila timu ikijaribu kupigana kujua itamaliza ikiwa nafasi ipi na nyingine zikijiandaa kushuka katika ligi yao, lakini vurugu …

Karibu Uingereza…

  Unaweza kuwa haukuwa usiku mzuri kwa United ambao waliambulia patupu mbele ya Arsenal walioonekana kuwa katika hali ya ubora katika mechi iliyowakutanisha miamba hao wa soka. Kilichovutia sana katika …

Mnyama Atafunwa!

  Baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo mazuri ndani ya ligi na baadhi ya mechi za kimataifa klabu ya Simba imekubali kupokea kichapo kingine mbele ya Waalgeria, J. S. …

  Mario Balotelli ameweka wazi kuwa anataka kuendelea kusalia Marseille hata baada ya msimu huu kuisha akisisitiza kuwa klabu hiyo ipo lrvo nyingine ukifnanaisha na Nice. Balloteli alichapa jumla ya …

  Michuano ya tenisi ya Indian Wells inaendelea kupamba moto huku baadhi ya washiriki wakitoboa kuingia raundi ya tatu ya michuano hiyo. Serena Williams ameweza kumlaza chali mpinzani wake. Serena …

  Msemo unaotaja kuwa wanawake wakiwezeshwa wanaweza unaanza kupotea, msisitizo unawekwa katika usawa kwa jinsia zote mbili! Adidas hawako nyuma. Jitihada za kusisitiza na kutetea usawa katika nyanja zote za …

  Miongoni mwa wachezaji ambao wameweza kujijengea heshima kubwa sana katika soka ni Ibrahimovic kutokana na kuyaishi maisha yake halisi katika ubora, uwezo na hata kutumia mbinu zake zote kuzipaisha …

  Pongezi ni kitu ambacho kila mmoja hupenda kufanyiwa pale anapoonekana kufanya jambo fulani au kitu fulani kwa mafanikio makubwa. Jambo hilo mara nyingi huchochea utendaji kazi na mara nyingi …

Gemu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ya PSG dhidi ya Manchester United ilikuwa kali na kuacha matokeo ya kihistoria yaliyokuwa na nafuu kwa Manchester United chini ya Ole Gunnar Solskjaer. …

Viwanja Bora Duniani

  Soka sio tu mchezo wa kushindanisha timu mbili uwanjani, pia linaendana na uwekezaji katika viwanja ambavyo mara nyingi huwa ni kivutio kikubwa cha mashabiki; pia huchochea wachezaji kucheza kwa …

  Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Marouane Fellain ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mwanasoka huyu ameweka wazi kuwa kwa sasa hatakuwa mchezaji wa kimataifa wa Belgium. Staa huyu alikamilisha usajili …

1 2 3 915 916 917 918 919 920