Makala nyingine

Nani Anastahili Kubaki?

KADRI siku zinavyozidi kusogea basi umri, mikataba na mapendeleo ya wachezaji Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β Β  kuendelea kukaa ndani ya klabu wanazozitumikia yanafutika taratibu sana. Jambo hilo mara nyingi huongeza mgandamizo fulani kwa kikosi …

Hivi karibuni ilitokea uvumi kwamba kuna sintofahamu inaendelea kati ya wachezaji wawili wa klabu ya Liverpool kutokana na wawili hao kukoseshana nafasi za kuweza kufunga magoli uwanjani huku kila mmoja …

5 Bora za Serie A

Huku ligi ya Italia ikianza hivi karibuni, kuna majina ambayo yamepata usajili ndani ya ligi hiyo katika klabu mbalimbali ili kuvipa nguvu vilabu hivyo. Katika sajili hizo, ni kwamba kila …

Fununu za Usajili

Huenda kikosi cha klabu ya Chelsea kikazidi kubomolewa zaidi baada ya klabu ya Real Madrid kuwafikia Wanadarajani hao na kuomba kumnunua kiungo wa timu yao. Tangu siku za hapo nyuma …

Turan Ahukumiwa!

Nyota huyu wa klabu ya Barcelona ambaye amekuwa na kikosi hicho kwa misimu kadhaa na kwa mafanikio makubwa sana. Nyota huyo kwa sasa bado ana mkataba wa kuitumikia klabu ya …

Fununu za Usajili

Ureno inaonekana ni kati ya mataifa ambayo yamejaaliwa kwa kuzalisha viungo ambao wana uwezo wa hali ya juu sana. Hilo linakuja kutokana na aina ya wachezaji ambao imekuwa ikiwauza. Nyota …

Kila klabu huwa na mategemeo ya namna fulani na hujenga imani yao kubwa kwa kocha ambaye wanamkabidhi kikosi chao ili aweze kufanya yale ambayo wao wanayaamini. Inapotokea malengo yale yanashindwa …

Nyota wa mbio za magari, Lewis Hamilton anasema halijamjia kichwani mwake wazo la kuachana na mchezo huo wa Formula One siku yoyote ile. Anachoangalia kwake kwa sasa ni ufanisi zaidi …

Fununu za Usajili

Mlinzi wa klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos anaonesha kucheza vyema kwenye nafasi yake akiwa kama kiongozi wa wachezaji wa klabu hiyo mara baada ya kuanza ushawishi wa kumtaka nyota …

Ronaldo Bado Tishio!

Huenda umri ukawa kigezo cha wachezaji wengi kushuka viwango vyao katika soka hadi hupelekea wengine kuanza kustaafu soka na kuamua kujiweka mbali kabisa na mchezo huo ili kutunza heshima yao …

Fununu za Usajili

Taarifa zinazidi kutembea kwamba klabu ya Juventus iko mbioni kuwataka nyota wa Manchester United mbali na kwamba wanaweza kukutana na ushindani mkubwa katika kumnasa mlinda mlango huyo. Juventus wameweka njia …

Eto’o Kustaafu Soka

STAA ambaye aliwika sana katika historia ya soka barani Ulaya na Afrika kwa ujumla, Samuel Eto’o ameweka wazi nia yake ya kustaafu kucheza soka mara baada ya kuwa katika kipindi …

Klabu inayoshiriki ligi kuu Uingereza, Watford imefikia hatua ya kusitisha mkataba na kocha wao ambaye aliifundisha klabu hiyo kwa msimu uliopita na kujaribu kuinusuru kuendelea kusalia katika ligi kuu ya …

Fununu za Usajili

Nyota wa Real Madrid ambaye anajiona kama anakosewa heshima kubwa sana ndani ya klabu hiyo, Gareth Bale anaona kwamba bado atapata misukosuko ndani ya klabu hiyo ambayo ipo chini ya …

Ramos Asawazisha Rekodi

Mlinzi wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa Hispania ambaye ana rekodi zake nyingi sana katika soka, Sergio Ramos ameweza kufika katika hatua kubwa sana kisoka mara baada …

Jaribio la nyota huyo raia wa Brazil kutaka kung’oka katika ardhi ya taifa la Ufaransa iligonga mwamba na kuingiwa na purukushani za hapa na pale kutokana na nyota huyo kulazimisha …

Fununu za Usajili Ulaya

Marco Reus anayekipiga katika klabu ya Borussia Dortmund anaonekana kuwa na utayari katika ushawishi ili kumfanya mchezaji mwenzake ambaye pia ni rafiki wake wa muda mrefu ambaye kwa sasa anahudumu …

Mitego ya Neymar

Saga la nyota huyo bado linaendelea kushika kasi na hadi sasa klabu mbili zinazomuwinda mchezaji huyo zimeweka majina ya wachezaji watakaotumika kama chambo ili kumnasa nyota na raia huyo wa …

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA ni kati ya vyombo vinavyokemea kwa kiwango kikubwa sana suala la ubaguzi wa rangi kwa wachezaji ndani ya mchezo wa soka lakini pia vipo vyombo …

Fununu za Usajili

Kuna kila dalili kwamba United walitumia mbinu kubwa sana kumpeleka mlinzi wao ambaye kwa msimu uliopita alikuwa ni tegemeo sana ndani ya kikosi chao hicho. Kwa taarifa zaidi juu ya …

1 2 3 918 919 920 921 922 923 924 937 938 939
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.