Mauricio Pochettino ameongeza mkataba wake na Paris Saint-Germain amesaini dili ambayo itamuweka Parc des Princes mpaka 2023.
Kocha huyo wa zamani wa Tottenham alijiunga na PSG kwa makaubaliano ya muda wa miezi 18 mwezi Januari mwaka 202, lakini PSG wanafuraha na kocha huyo kwa kile alichokifanya mpaka sasa na wameamua kumpa dili ya muda mrefu.
Licha ya kukosa ubingwa wa Ligue 1 na Champions League, Pochettino ameleta matokeo chanya kwa kila mtu ndani ya klabu.
PSG amekuwa bize kuliko vilabu vingine majaira haya ya joto kwa kusajili wachezaji kama Gianluigi Donnarumma, Sergio Ramos, Achraf Hakimi na Gini Wijnaldum.
“Kwetu sisi timu ya ufundishaji ni muhimu sana kuhisi kuungwa mkono na imani ya klabu na tutafanya kila kitu kinachowezekana kufanya mashabiki wajivunie sisi,” Pochettino alisema.
Rais wa klabu Nasser Al Khelaifi alisema: “Tunayofuraha kwamba Mauricio Ataendeleza safari yake hapa PSG”.
“Alikuwa nahodha miaka 20 iliyopita na anaendeleza thamani na malengo ya klabu kwa hapo baadaye.”
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!
Sania+mapua
Sio mbaya