PSG Yatolewa Michuano ya French Cup

Timu ya Paris Saint-Germain imevuliwa ubingwa wa French Cup baada ya kushindwa kusonga hatua ya robo fainali baada ya kwenda sare ya 0-0 na kupigiana mikwaju ya penati 6-5 na timu ya Nice siku ya Jumatatu.

PSG Yatolewa Michuano ya French Cup

Mabingwa watetezi walikuwa wakitafuta kuongeza taji la 15 na kufika fainali ya 8 mfululizo lakini mbio zao zilifika tamati mikononi mwa wageni katika dimba la Parc des Princess.

Timu ozte mbili zilifunga kwenye mkwaju ya penalti, hata hivyo, lakini baada ya Dante kupiga mpira kwa shuti kali la aina ya Panenka, kipa wa zamani wa PSG Marcin Bulka alizuia penati ya kiungo Xavi Simons kuipa Nice ushindi.

Nice ataendelea kumenyana na Marseille nyumbani wiki ijayo katika hatua ya robo fainali.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe