Rais wa UFC White Adokeza Kurudi kwa McGregor

Dana White ambaye ni rais wa mchezo wa UFC amesema kwamba Conor McGregor anaweza kurejea ulingoni baadaye mwaka huu.

Rais wa UFC White Adokeza Kurudi kwa McGregor

Tangu alipopoteza kwa Dustin Poirier mwezi Julai mwaka jana McGregor hajacheza pambano lolote baada ya kusumbuliwa na mguu wake wa kushoto ambao ulivunjika wakati wa pambano na Poirier.

White alikuwa akizungumza baada ya hafla ya UFC Fight Night katika uwanja wa O2 Arena London Jumamosi, akisema: “Conor bado hajaruhusiwa na daktari.

“Atakaporuhusiwa, baadhi ya mapigano haya yatafanyika msimu huu wa joto, tutaona jinsi mazingira yanavyoonekana, na tutaona muelekeo uko wapi, wakati huo, na tutamchagulia pambano.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe