Beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ujerumani Antonio Rudiger amekubali kujiunga na klabu ya Real Madrid mara baada ya mkataba wake kuacha kufanya kazi huko Stamford Bridge mwisho wa msimu huu.

Mlinzi huyo amekamilisha vipimo  na amemwaga wino wa kuitumikia Los Blancos kwa miaka minne kwa dili yenye thamani ya Euro milioni 6.8 kwa msimu pamoja na bonasi.

Katika dili hiyo Antonio Rudiger na wakala wake Sahr Sensie ambaye ni kaka yake watapata kiasi kikubwa cha pesa ya uhamishona inakadiliwa watapokea kiasi cha Euro milioni 35 kati yao.

Rudiger amekuwa akiichezea Chelsea tangu mwaka 2017 Julai na ameichezea The Blues michezo 199 katika mashindano yote ambapo amefanikiwa kufunga mabao 12 na kusaidia mengine 7.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa