Karl-Heinz Rummenigge hajachelewa kujibu juu ya uvumi unaoendelea kuondoka kwa Robert Lewandowski huko Bayern Munich, na kuondoa kuyaondoa mazunguzo ya aina hiyo.

Imependekezwa kuwa mabingwa wa Ujerumani wanaweza kuwa tayari kuachana na mchezaji huyo wa miaka 32 wanapoanza kufungua uwezekano wa kumleta Erling Haaland kutoka Borussia Dortmund.
Lewandowski, hata hivyo, yuko mbioni kuvunja rekodi zaidi msimu huu, kwa kufunga mabao 40 ya Bundesliga msimu wa 2020-21, na Rummenigge anasema hakuna nafasi ya kuondoka Allianz Arena hivi karibuni.
Bayern hawana haja ya kuzingatia na uvumi unaoendelea kwa Lewandowski kwani uwepo wa mchezaji huyo ambaye ndiye mfungaji bora umefungwa kwa mkataba hadi 2023.
Haonyeshi ishara ya kupungua kiwango, baada ya kufunga mabao mengine 46 kwenye mashindano yote msimu huu, na amezungumza juu ya hamu ya kucheza kwa angalau miaka mingine mitano.
“Hakika yupo hapa. Ni nani anayeuza mchezaji anayefunga mabao 60 kwa mwaka?” Rummenigge, mwenyekiti wa bodi ya watendaji huko Bayern, aliiambia Sport1.
“Nimetumaini yangu atakaa kwa muda mrefu hapa Bayern Munich”.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Robert Lewandowski ni mchezaji mzuri Sana hawezi kumuuza
Nimchezaji mzuri sanaa
Mchezaji mzuri sana
Mchezaji mzuri sana
Ukimuuza mchezaji kama huyo ni hasara
Watakuja kujutia baadae
Mchezaji mzuri
Bado sana
Kijana yuko vizuri sana
Mchezaji mzuri sana
Mchezaji mahiri
Mchezaji mzuri
Yuko vizuri.
Hawakutakiwa kumuuza lewandowski
Hawezi fanya hivyoo
Analijua Sana gor
Bado sana
Watajutia baadae