Yanga ilitarajia kuondoka leo kuwafuata Namungo huko Lindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na kwa kauli ya Mshauri wa masuala ya Uongozi, Senzo Mazingisa, kikosi cha Yanga chini ya Kocha Nasreddine Nabi kimeiva na kiko tayari kupata matokeo ya ushindi.
Senzo - YangaTimu imeanza kuimarika sana, ni bahati mbaya mchezo wa Simba umeahirishwa, lakini wanachama na mashabiki wangeona kitu cha tofauti kutoka kwa kocha wetu, wachezaji wameanza kumuelewa kwa kiasi kikubwa,”
Senzo - yanga vs namungoMechi na Namungo haitakuwa rahisi, lakini kwa sasa tuna kikosi ambacho ukiongeza mbinu za kocha mashabiki wetu watakuja kuona kitu tofauti katika kuongezeka kwa ubora wa mbinu.
.
Kuhusu mechi ya juzi, Senzo amesema, Kupitia mwongozo wa Waziri Mkuu, wao kama Yanga wanasubiri kusikia kipi kitaamuliwa, lakini akili yao yote imehamia kwa Namungo.

PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

senzo, SENZO: Yanga Kumenoga, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa