Shearer na Henry wa Kwanza Kuwekwa "Hall of Fame" ya EPL

Alan Shearer na Thierry Henry wametangazwa kama wachezaji wa kwanza kutajwa katika Jumba la watu maarufu katika Premier League.

Premier League Kuzindua Hall of Fame Aprili 19

Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na Blackburn Rovers Alan Shearer anabaki kuwa kiongozi wa kufunga magaoli mengi katika historia ya mashindano hayo, alifunga mabao 260 katika misimu 14 kwa vilabu vyote viwili.

Nahodha wa zamani England, ambaye alishinda kiatu cha dhahabu mara tatualifunga mabao 148 katika michezo 303 ya Premier League kwa The Magpies  na kubaki kuwa mchezaji pekee aliyefunga mabao 100 kwa vilabu viwili tofautivya Premier League.

Henry ni wa sita katika ubao wa wafungaji bora katika mashindano, aliweka rekodi ya klabu kwa kufunga magoli 175 katika michezo 258 kwa timu ya Arsenal.

Alan Shearer na Thierry Henry wametangazwa kama wachezaji wa kwanza kutajwa katika Jumba la watu maarufu katika Premier League.

Nyota huyo wa zamani wa France aliweka rekodi ya kushinda kiatau cha dhahabu mara 4 alifunga zaidi ya magaoli 20 kwa misimu mitano mfululizokutoka mwaka 2001 mpaka alipoamua kwenda Barcelona mwaka 2006.

“Kuingizwa pamoja na Alan Shearer kama wahusika wawili wa kwanza kwenye Jumba la Umaarufu la Ligi Kuu ni zaidi ya umaalumu kwangu,” Henry alisema.

“Nilipokuwa mdogo nilitamani nishinde viatu vingi na sasa tunazungumzia  kuhusu Jumba la Umaarufu. Wakati wa kazi yangu nilikuwa niktaka kucheza kwa bidii na kuhakikisha tunashinda ndiyo kitu ambacho mashabiki hupenda.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

12 Komentara

    Safi sana

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Hongereni sana

    Jibu

    Shearer tunamkubali

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Nimchezaji mzuri#meridianbett#

    Jibu

    Kazi nzuri

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe