Siku ya Maamuzi kwa Christiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo anafanya mashabiki wake kuendelea kubaki na maswali ya nini kinafauata kwake msimu huu wa joto, na mustakabali wake wa Juventus bado haujathibitishwa.

Mreno huyo alimaliza kama mfungaji bora katika Euro 2020 na amekuwa akiulizwa maswali zaidi juu ya hatma yake kwa msimu wakati huu wa joto.

Siku ya Maamuzi kwa Christiano Ronaldo

Sasa, ameandika ujumbe wenye fumbo kwenye Instagram yake. Akiweka picha yake na moja ya gari zake, akiwa mbele ya gari hiyo aina ya Rolls Royce aliambatana na nukuu “Siku ya Uamuzi”.

Lakini, uamuzi huo ni nini bado ni siri. Kumekuwa na mazungumzo kwamba yuko tayari kuongeza kandarasi yake ya Juventus zaidi ya 2022 na atasaini hadi 2023 na uwezekano wa kupunguzwa mshahara, kufuatia uongozi wa Lionel Messi huko Barcelona.

Cristiano Ronaldo alikuwa mfungaji bora wa Serie A msimu uliopita akiwa na mabao 29, lakini amekuwa akihusishwa na Manchester United, Paris Saint-Germain na hata Sporting CP msimu huu wa joto.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe