Kocha mkuu wa Manchester United amesema Edinson Cavani ameonyesha kwanini klabu inataka kumbakisha huko Old Trafford baada ya kuwasaidia Mashetani Wekundu kufika fainali ya Europa League.
Cavani alifunga mabao mawili katika mchezo wa marudiano ambao walipoteza kwa 3-2 ugenini dhidi ya Roma siku ya Alhamisi lakini walisonga fainali kwa jumla ya magoli 8-5.
Mchezaji huyo wa miaka 34 wa Uruguay amekuwa akihusishwa na kujiunga na Boca Juniors amefunga mabao 16 katika michezo 15 ya Europa League msimu huu.
Manchester United inajaribu kumshawishi Cavani kuongeza muda wa kukaa United Solskjaer amemuongela mchezaji huyo ambaye pia ni mfungaji wa muda wote wa PSG.
“Edison ameonesha kwa mara nyingine kwanini tunataka kumbakisha Old Trafford” Solskajer aliwaambia maripota.
“Mpira wa miguu una lugha yake nadhani Edinson Cavani amedhihirisha hilo usiku wa leo na mchezo uliyopita ni mshambuliaji wa aina yake amekuwa akifanya hivyo ndani na nje dimba hatutaki aondoke hapa.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Vizuri
Good news
Asante kwa makala
Abaki tu
Safi
Safi sana
Safi
Wamuache tu abaki
Safii abaki tuu
Abaki tu
Cavan bonge la striker
Abaki tuu hapo hapo