UONGOZI wa Tabora United umesema kuwa hauna hofu na mchezo wao dhidi ya Simba ambao utakuwa wa ligi kuu ya NBC na wapo tayari kuchukua pointi tatu kwa namna yoyote watakapokutana ndani ya uwanja. Unaweza kubashiri mechi hii yenye odds kubwa kabisa kwa Tabora United, Meridianbet ni sehemu pekee ya kubetia.
Ofisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema kuwa kikosi walichonacho pamoja na usajili mzuri waliofanya unawapa nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi zao zote watakazocheza.
Timu hiyo inafundishwa na Kocha Mkuu Guran Kuponovic ambaye anawapa mbinu wachezaji wa timu hiyo inayopambana kufanya vizuri katika mechi za ligi na mchezo wao dhidi ya Simba unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
“Tunawakaribisha Simba watakuwa ugenini kwenye mchezo wetu ujao hatuna hofu ambacho tunahitaji ni pointi tatu muhimu. Haiishi mpaka iwe imekwisha na wachezaji wetu wana rekodi nzuri ikiwa ni pamoja na mlinda mlango John Noble ambaye amecheza mechi 12 na hajafungwa kwenye mechi tano.
“Sio ulinzi langoni pekee bali mpaka eneo la ushambuliaji wanfanya vizuri ikiwa ni pamoja na Eric Okutu amecheza mechi 11 na kuhusika katika mabao matano, katoa pasi moja ya bao na kufunga mabao manne hivyo tuna wachezaji wazuri tunaamini tutapa ushindi kwenye mchezo wetu ujao,”.
Mchezo huo utapigwa majira ya saa10:00 za Jioni katika dimba la Ali Hassan Mwinyi, usipange kukosa mechi hii yenye maokoto ya uhakika kabisa Meridianbet, beti chaguo lolote kwa odds kubwa, pia kuna michezo ya kasino mtandaoni na sloti unaweza kuicheza ikiwa wewe sio mambo yako Mpira.