Mshambuliaji namba moja wa timu ya wanawake ya Simba ‘Simba Queens’ Opah Clement ameendeleza moto wake kwa kutikisha nyavu kwenye ligi kuu ya wanawake ya Serengeti Lite, akiwa ni kinara wa mabao mpaka sasa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

opah

Opah mwenye umri wa miaka 22 amekuwa na mchango mmkubwa kwa Simba Queens msimu akiwa amecheza mechi 6, amefunga mabao 8 na dakika alizozotumia uwanjani kupachika mabao hayo ni dakika 518. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa