Tuchel Apangua Tetesi za Ziyech Kuuzwa

Kocha mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel amesisitiza kwamba hakuna mjadala wowote kuhusu kuuzwa  kwa Hakim Ziyech bosi huyo pia amesema kwamba taarifa zote zitengenezwa na watu.

Tuchel Apangua Tetesi za Ziyech Kuuzwa
Thomas Tuchel akiwa na Hakim Ziyech

Ziyech hajapata uhakika wa kuanza katika kikosi cha kwanza cha Chelsea licha ya kucheza mechi 39 msimu uliyopita staa huyo wa Morocco amecheza mechi 10 pekee msimu huu hali iliyoibua mijadala kwamba Chelsea wanampango wa kumtoa kwa mkopo  wakati wa dirishala Januari.

Barcelona na Borussia Dortmund wamehusishwa na kuhitaji huduma ya mchezaji huyo, lakini Tuchel ambaye timu yake itaumana na Leicester siku ya Jumamosi katika mchezo wa Premier League amesema:

“Ni rahisi sana kuanzisha mazungumzo. ” Nimeongea mara nyingi alikuwa mzuri sana wakati wa mechi za kabla ya msimualicheza baada ya jeraha la bega na yupo katika kujilinda kwa hiyo imefanya awe huru  swala ambalo ni muhimu kwake.

“Sasa ameimarika katika michezo iliyopita. Tulikuwa na majeruhi na alichukua nafasi ya kuwa na muda zaidi wa kucheza kama Callum Hudson-Odoi. Alikuwa na maamuzi. Alisaidia, alifunga, ni vizuri.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe