Arsenal wanajitupa tena dimbani kumenyana na Manchester United katika uwanja wa nyumbani Emiarates Stadium kutafuta ushindi mwingine baada ya kuiyuka Chelsea bao 4-2 katika EPL.
United wanakuja kwenye mtanange huu wakiwa wametoka kupokea kichapo kikali cha 4-0 kutoka kwa Majogoo wa Anfield mwanzoni mwa wiki.
Taarifa ya Timu
Lacazette anaweza kuanza leo baada ya kutokea benchi kwenye mchezo wa ushindi wa 4-2 dhidi ya Chelsea kufuatia kupona Corona.
Takehiro Tomiyasu anaweza kucheza kwa mara ya kwanza tangu Januari baada ya wiki hii kurejea mazoezini.
Kwa upande wa United Pogba anaweza asicheze mechi ya leo baada ya taarifa kudai kwamba kiungo huyo anaweza asicheze tena kwa msimu uliyosalia baada ya kupata jeraha kwenye mchezo dhidi ya Liverpool.
Ronaldo, Varane na Scott McTominay wote wanapatikana kwenye kipute cha leo.
Kikosi cha Arsenal kinachoweza kuanza: Ramsdale; White, Holding, Gabriel, Tavares; Xhaka, Elneny; Saka, Odegaard, Smith Rowe; Nketiah
Kikosi cha Man United kinachoweza kuanza: De Gea; Wan-Bissaka, Varane, Lindelof, Telles; Matic, McTominay; Elanga, Fernandes, Sancho; Ronaldo
Ushindi kwa timu yoyote utafanya mazingira mazuri ya kumaliza nne za juu. Kwa kugusa LINK HII unaweza kuweka bashiri yako.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.