Wachezaji viungo wa Liverpool Fabinho na James Milner wote hawatocheza wapo nje ya dimba kutokana na majeruhi.

Uchambuzi EPL: Liverpool vs Everton.

Naby Keita anaweza kuhusika kwenye mchezo wa leo lakini Diogo Jota bado hajawa fit.

Meneja wa Everton Carlo Ancelotti amethibitisha kwamba mfungaji kinara wa Everton Dominic Calvert- Lewin yupo fit kuanza baada ya kukosa michezo miwili sababu ya majeraha.

Kiungo Allan naye pia atapatikana kwa mara ya kwanza tangu katikati ya mwezi Disemba baada ya kupata majeraha lakini Yerry Mina anasumbuliwa na tatizo la ndama.

Liverpool:
Liverpool wamepoteza mechi tatu mfululizo ya ligi kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2014.

Liverpool wamepoteza mara ya tano kati ya nane ya Premier League mwaka 2021 na kwa ujumla wamepoteza michezo 72 kwa mwaka 2019 na 2020.

Everton:
Everton wana wastani wa kupata alama moja kwa kila mechi katika mechi nane mwaka 2021.

Nonetheless hawjafungwa katika michezo saba ya Premier League ya ugenini (W5, D2).

Dominic Calvert-Lewin anahitaji goli moja kufikia rekodi ya kufunga michezo ya ugenini mabao tisa Premier League iliyowekwa na Romelu Lukaku mwaka 2015-16 na 2016-17.

HEAD TO HEAD

Mara ya mwisho kuktana Liverpool na Everton matokeo yalikuwa ni sare ya 2-2 mwezi Oktoba mwaka jana.

Liverpool haijafungwa katika mechi 23 walikutana katika mashindano yote (W11,D12). Ndiyo rekodi ndefu bila kipigo dhidi ya wapinzani.

Michezo 20 ya hivi karibuni ya Everton hawajashinda dhidi ya Liverpool katika ligi ndiyo wanyonge wao.

Hii ndiyo ratiba ambayo timu hizi mbili zimecheza mara ya 24 na matokeo kwenda sare katika historia ya Premier League.

Lakini pia ndiyo mechi ambayo imezalisha kadi nyingi nyekundu katika historia( kadi 22).


WEWE NI SHUJAA? MASHUJAA WANASHINDA HAPA!

Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

Kasino ya Mtandaoni

INGIA MCHEZONI

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa