Manchester City itatangaza ubingwa wa Premier League kama wakimfunga Chelsea katika dimba la Etihad Stadium siku ya Jumamosi.
Timu hizo pia zitakutana katika fainali ya Champions League mwezi huu ingawa Pep Guardiola amesema kwa sasa atazingatia kushinda taji la EPL kwanza.
Taarifa za vikosi:
John Stones ataendelea kutopatikana kwa timu ya Manchester City ikiwa ni sehemu ya kutumia adhabu ya kutochheza michezo mitatu ya ndani ya uingereza.
Mlinzi mwenzake Eric Garcia anaweza kurejea baada ya kuugua homa wakati Man City haijatoa taarifa zozote za kuumwa kwake.
Kwa mara nyingine Chelsea itamkosa Mateo Kovacic sababu ya tatizo la misuli ya mguu.
Antonio Rudiger, ambaye alikosa mchezo wa ushindi dhidi ya Fulham sababu ya tatizo la uso alicheza dhidi ya Real Madrid akiwa amevaa mask ya kujikinga.
Rekodi za Kukutana:
Manchester City wamepoteza dhidi ya Chelsea katika mechi 26 za Ligi Kuu, mara nyingi zaidi kuliko dhidi ya timu nyingine yoyote.
Lakini, Chelsea wamepoteza mechi tisa kati ya 12 walizocheza kwenye Uwanja wa Etihad kwenye mashindano yote – ikiwa ni pamoja na kwenye kila ziara yao ya ligi iliyopita.
Chelsea haijapoteza michezo minne mfululizo ya Ligi Kuu ya ugenini dhidi ya Man City tangu ilipotokea dhidi ya Manchester City kutoka 2009 hadi 2013.
Kikosi cha Manchester City Kinachoweza Kuanza: Ederson; Cancelo, Dias, Laporte, Mendy; Rodri, Gundogan, De Bruyne; Mahrez, Aguero, Sterling
Kikosi cha Chelsea Kinachoweza Kuanza: Mendy; Zouma, Rudiger, Christensen; James, Jorginho, Kante, Alonso; Mount, Pulisic; Havertz
Bashiri Hapa Mechi hii.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Chelsea hatokubali man city atangaze ubingwa kwake
Man city mkali
Mtanange matata
Hapo itabidi kupambania ubingwa tu kwa chelsea
Chelsea wanaweza kuwania ubingwa endapo watakuwa makini uwanjani
Mtanange wa nguvu
Uchambuzi nimeuwerewa huu
Bonge la mchezo
Uchambuzi bomba
Antonio Rudiger, ambaye alikosa mchezo wa ushindi dhidi ya Fulham sababu ya tatizo la uso alicheza dhidi ya Real Madrid akiwa amevaa mask ya kujikinga.