Katika EPL leo ni mechi ya 36 kwa timu za Newcastle United dhidi ya Manchester City, City wakiwa tayari wametangazwa kuwa mabingwa wa Premier League 2020-21. Yafuatayo ni mapitio ya mchezo huo.
Uchambuzi EPL: Newcastle United vs Manchester City
Newcastle United vs Manchester City

Taarifa za Vikosi:

Mfungaji bora wa Newcastle Callum Wilson ameondolewa katika kikosi kwa michezo mitatu iliyosalia kutokana na tatizo la mguu.

Ameungana na majeruhi wengine kama Karl Darlow, Ryan Fraser, Isaac Hayden, Jamaal Lascelles na Fabian Schar ambaye anatumikia adhabu.

Kocha mkuu wa Pep Gaurdiola atakuwa bila kiungo Kevin De Bruyne, ambaye bado anasumbuliwa tatizo la misuli.

Mlinzi John Stones anapatikana kwenye mchezo wa leo baada ya kufungiwa michezo mitatu.

Rekodi za Kukutana:

Newcastle United imeshinda mara moja tu katika michezo 26 iliyopita ya Premier League dhidi ya Manchestr City na ilishinda kwa 2-1 Januari 2019 wakiwa nyumbani.

Lakini City imeshinda mchezo mmoja pekee kati ya minne ya hivi karibu katika EPL dhidi ya Magpies wameshindwa kushinda katika mechi tatu (D2, L1)

Kikosi cha Newcastle United Kinachoweza Kuanza: Martin Dubravka,Federico Fernandez,Ciaran Clark,Paul Dummett,Jacob Murphy,Miguel Almiron,Jonjo Shelvey,Joseph Willock,Matt Ritchie,Allan Saint-Maximin,Joelinton

Kikosi cha Manchester City Kinachoweza kuanza: Ederson Moraes, Kyle Walker, John Stones, Ruben Dias,Oleksandr Zinchenko,Bernardo Silva,Rodri,Ilkay Gundogan,Riyad Mahrez,Gabriel Jesus,Phil Foden


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Newcastle, Uchambuzi EPL: Newcastle United vs Manchester City, Meridianbet

CHEZA HAPA

12 MAONI

  1. Mechi hii haitakuwa na ushindani wowote kwasababu Man City bingwa na Newcastle haipo ktk hatari yoyote ya kushuka daraja

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa