Chelsea watakuwa na shughuli moja tu ya kuondoka na alama zote tatu watakapo tembelea viunga vya St. James Park kuumana na Newcastle ili waendelee kuwa kileleni mwa jedwali la Premier League.
Chelsea wanarejea kwenye mchezo wa ligi baada ya kuwaondoa Southampton katika michuano ya Carabao Cup kwa mikwaju ya penati lakini kabla ya walidondoshea mvua ya mabao 7-0 timu ya Norwich.
Taarifa ya Timu
Jonjo Shelvey wa Newcastle anarejea tena dimbani baada ya kutumikia adhabu yake aliyopata kwenye dhidi ya Palace lakini Martin Dubravka, Freddie Woodman na Paul Dummett wamesalia nje sababu ya majeraha.
Joe Willock atahusika kwenye mchezo huu mbele ya Sean Longstaff na Wilson na Allan Saint-Maximin watakuwa wakiisumbua safu ya ulinzi ya Chelsea.
Kwa upande wa Chelsea Romelu Lukaku na Timo Werner bado wataendelea kuwa nje kutokana na majeraha yanayowakabili.
Wakati Tuchel pia atakuwa akiwa na tumaini la kuwatumia Andreas Christensen(jino) Ruben Loftus-Cheek(paja), Cesar Azpilicueta (bega) na N’Golo Kante(misuli)kwa mchezo huu.
Harvetz ataendelea kutumika kama mshambuliaji wa mbelewakati Mateo Kovacic ambaye alionyesha kiwango thabiti kwenye mchezo dhidi ya Norwich anaweza asicheze kutona na jeraha la harmstring alililopata wakati wa mazoezi.
Kikosi cha Newcastle Kinachoweza Kuanza: Darlow; Krafth, Lascelles, Clark; Manquillo, Hayden, Willock, Almiron, Ritchie; Wilson, Saint-Maximin
Kikosi cha Chelsea Kianchoweza Kuanza: Mendy; Azpilicueta, Rudiger, Silva; James, Jorginho, Kante, Chilwell; Mount, Hudson-Odoi; Havertz
BASHIRI HAPA MECHI HII
Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.
CHEZA HAPA