UEFA Nations League Kuwaalika Brazil na Argentina

UEFA Nations League ni mashindano yaliyoandaliwa na UEFA ambayo yanatoa fursa kwa mataifa ya Ulaya kuchuana sasa wakati FIFA wanafanyia kazi pendekezo la Kombe la Dunia kuchezwa kila baada ya miaka miwili UEFA nao wanajiandaa kuongeza ladha ya Nations League.
UEFA Nations League Kuwaalika Brazil na Argentina
Neymar akikumbatiana na Lionel Messi

UEFA Nations League inajindaa kuwakaribisha timu ya taifa ya Brazil na Argentina kuwa sehemu ya michuano hiyo.

Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, UEFA inataka kuratibu Grobal Nations League na waalikwa kutoka mashirikisho mengine ya soka.

Wazo lilitoka kulingana na mahusiano mazuri kati ya UEFA na CONMEBOL iliyo letwa na Alejando Dominguez.

Na tayari kunampango wa mchezo wa kirafiki kati ya bingwa wa Copa Amerika Argentina na Mabingwa wa Ulaya Italy ambayo itachezwa mwezi Juni 2022.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

Acha ujumbe