Vilabu vya Ulaya vinaripotiwa kushikana mashati kwenye mbio za kuipata huduma ya mshambuliaji wa Benfica Darwin Nunez.

Nyota huyu ameendelea kufanya vyema akifikisha idadi ya magoli 31 msimu huu kwa michuano yote, mara ya mwisho akiwa amefunga Hat-trick dhidi ya Belenenses  kwenye Primeira Liga wikiendi.

Staa huyu ameweza kuzifutia timu kadhaa kubwa, ambazo kwa sasa zinahitaji huduma yake. Staa huyu anahusishwa zaidi na Manchester City.

Hata hivyo, kwa mujibu wa The Athletic, vilabi kadhaa Ulaya wakiwemo Manchester United, Paris Saint Germain na Chelsea – (ambao bado wapo chini ya marufuku ya kusajili) wote wanaongoza kwa jitihada za kupambania huduma ya staa huyu.

Klabu ya Benfica, inaripotiwa kuwa inaweza kuwa tayari kumuuza staa huyu ikiwa watapata ofa bora ya dau la €70m (£58.6m). Taarifa zaidi zinasema kuwa meneja Nelson Verissimo amebainisha kuwa klabu inafaa kujaribu kufikia £113 ambayo walimuuza Joao Felix mwaka 2019.

Vilabu vya Ulaya Vinavyokimbizana kwa Darwin Nunez

Arsenal pia ni klabu ambayo inahusishwa na staa huyu sambamba na vilabu vingine Ulaya.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa