Ni mpya kabisa kutoka kwetu Meridianbet Tanzania. Sasa unarejesha pesa kwa 7% kwenye namba zako za bahati unapobetia Keno mtandaoni!
Hii ni OFA MAALUM iliyopo Meridianbet pekee ambapo unarudishiwa 7% unayotumia kwenye ubashiri wa KENO Namba za bahati KILA SIKU ipitayo. Namba hazijawahi kuwa nzuri kama hivi ilivyo sasa!
Unatakiwa kuweka angalau mikeka 50 kwenye KENO kila siku nasi tutakurudishia 7% ya ulichopoteza kwenye akaunti yako ya bonasi baada ya kubeti.
Ni hakika kuwa namba hazijawahi kuwa na ubora kama inavyokuwa sasa. Cheza na upate 7% yako mapema.
Vigezo
Ofa hii ni kwa wateja wote waliosajiliwa kwenye tovuti yetu ya meridianbet.co.tz. Ofa hii ni hadi mnamo tarehe 03/31/2020 ambapo ofa hii ni kwa mikeka ya KENO.
Kipindi cha malipo ni kila siku kati ya saa 00:00-23:59. Mteja ni lazima acheze si chini ya tiketi 50 za KENO kila siku bila kujali malipo ya kila tiketi yatakuwaje.
Katika tukio la kushindwa, wateja wote wanaokidhi vigezo kwa siku inayofuata watalipwa 7% ya hasara hii kwenye akaunti yao ya bonasi mtandaoni. Ofa hii haipo katika namba mubashara.
Vigezo na masharti vitazingatiwa. Cheza sasa.
Salma
Mko vizuri